Type to search

AIR JORDAN 36 KUZINDULIWA RASMI MWEZI HUU.

Business Entertainment Fashion trending News

AIR JORDAN 36 KUZINDULIWA RASMI MWEZI HUU.

Share

Kampuni ya viatu ya Nike kupitia chapaa yake (yaani brand) ya Air Jordan inatarajia kuzindua viatu vipya, ikiwa ni mchakato wao wa kuendeleza ‘brand’ ya Air Jordan.

Viatu hivyo vitakavyopewa jina Air Jordan 36 vinatajariwa kuzinduliwa rasmi Agosti 19, 2021. Viatu vitakuwa ni mchanganyiko wa rangi nyeusi, nyeupe, zambarau pamoja na rangi ya chungwa.

Hata hivyo, hakuna taarifa iliyotolewa kuhusiana na Bei ya viatu hivyo.

Leave a Comment