Type to search

Bruno Isohi Chiosi Ndiye Msemaji Mpya Wa Polisi.

Swahili News trending News

Bruno Isohi Chiosi Ndiye Msemaji Mpya Wa Polisi.

Share

Inspekta Mkuu wa Polisi Hillary Mutyambai amemteua Bruno Isohi Chiosi kuwa msemaji mpya wa idara ya polisi,
kuchukua nafasi ya Charles Owino ambaye sasa hivi ni Naibu Kiongozi wa Idara ya silaha za wastani [mdogo]
KNFP.

Awali Isohi alikuwa afisa katika Umoja wa kimataifa, UN kitengo cha Ujasisi maalum OCS ( Organized Crime Team)
na anatarajiwa kuanza kutelekeza majukumu yake mara amoja. Aidha Isohi aliwahi kuhudumu kama afisa wa Ujasusi [Criminal Investigations officer] katika kaunti ya Mombasa mwaka 2016.

Leave a Comment