Serikali ya Kenya imepokea shehena nyingine ya dozi 406,000 za chanjo ya Astra Zeneca kutoka kwa Serikali ya Uingereza. Shehena hiyo iliwasili Nairobi Jumanne Agosti 17, 2021 usiku, na kupokelewa na kaimu Mkurugenzi wa Wizara ...
Wizara ya mambo ya nje kupitia Katibu Mkuu Macharia Kamau imeshauri Wakenya waishio nchini Afghanistan kufanya mipango yao wenyewe na waajiri wao iwapo wanataka kurejea nyumbani. Macharia amesisitiza kuwa Serikali ya Kenya Haina mpango wowote ...
Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage ametangaza kuwa ataiachia EP(Extended Playlist) mpya ijulikanayo kama ‘Water and Garri’ Ijumaa ijayo tarehe 20,2021. Tiwa amewatangazia mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram, “Water and Garri ...