Type to search

KIPA WA REAL MADRID,COURTOIS ATIA SAINI MKATABA MPYA NA REAL MADRID.

Sports Swahili News

KIPA WA REAL MADRID,COURTOIS ATIA SAINI MKATABA MPYA NA REAL MADRID.

Share

Kipa wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ubelgiji Thibaut Courtois (umri 29) ametia saini mpya kuendelea
kuitumikia klabu ya Real Madrid ya Uhispania mpaka mwaka 2026.

Courtois alijiunga na klabu ya Real Madrid akitokea klabu ya Chelsea mwaka 2018 kwa mtaji wa pauni milioni 35.
Mpaka kufikia sasa Courtois amelinda lango la Real Madrid zaidi ya mara 100.

“Kwangu ni faraja kubwa kutia saini mkataba mpya. Naipenda Sana Klabu hii. Natarajia kutwaa Mataji mengi humu ndani” amesema Courtois wakati akihutubia wanahabari mara tu baada ya kuweka wino kwenye mkataba wake mpya.

Leave a Comment