Type to search

President Kagame Rants Over Arsenal’s Loss.

Entertainment Sports trending News

President Kagame Rants Over Arsenal’s Loss.

Share

 

Rais wa Rwanda Paul Kagame amefunguka kukerwa kwake baada ya ‘washika bunduki wa London’ Arsenal kushindwa na klabu ya Brentford katika mechi ya kwanza kabisa ya ufunguzi wa Ligi ya Uingereza EPL
msimu 2021/2022. Brentford iliichachafya Arsenal magoli 2 kwa nunge.

Aidha pia Rais Paul Kagame amedokeza kwamba huenda klabu ya Arsenal inanua wachezaji wazuri kwa bei ghali lakini hawatekelezi wajibu wao inavyostahiki – kuiletea klabu sifa ya ushindi.

Leave a Comment